News and Resources Change View → Listing

Bodi ya Wakurugenzi wa CRDB BANK Tanzania Ziarani Nchini Burundi

Tarehe 24 Machi, 2022 Ujumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa CRDB Bank Tanzania/ Burundi wakiambatana na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Burundi Dkt. Jilly E. Maleko, walimtembelea …

Read More

Ziara ya kikazi ya Bodi ya Wakurugenzi kutoka Benki ya CRDB Tanzania .

Pichani ni Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB -Tanzania na CRDB - Burundi na wanahisa wa Benki ya CRDB Burundi  wakiwa na Mhe. Balozi. Dkt. Jilly E. Maleko, Balozi wa Tanzania nchini Burundi…

Read More

MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA UHURU WA TANZANIA NA MAONESHO YA WIKI YA IJUE TANZANIA YALIYOFANYIKA NCHINI BURUNDI

Kufuatia maelekezo yaliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Burundi uliandaa maonesho ya "Wiki ya Ijue Tanzania", yakiwa ni…

Read More

Ziara ya kikazi ya Mhe. Prof. Adolf Mkenda, Waziri wa Kilimo tarehe 18 - 21 Oktoba, 2021 nchini Burundi.

Mhe. Prof. Adolf Mkenda, Waziri wa Kilimo alifanya ziara ya kikazi nchini Bujumbura, Burundi kuanzia tarehe 18 - 21 Oktoba, 2021.  Lengo ya ziara hiyo ni kukutana na kufanya mazungumzo ya kubalishana…

Read More

Ziara ya kikazi ya Mhe. Dkt. Jilly E. Maleko Balozi wa Tanzania nchini Bujumbura, Burundi katika ufunguzi wa tawi jipya la Benki ya CRDB mkoani Ngozi, Bujumbura, Burundi, tarehe 8 Oktoba

CRDB bank PLC – Tanzania imewekeza nchini Burundi kuanzia mwaka 2012 kwa kufungua Kampuni tanzu (Subsidiary) mjini Bujumbura, iitwayo CRDB Bank Burundi SA, ambayo ilianza kazi tarehe 02 Novemba 2012. Kampuni…

Read More

MKUTANO WA KAMATI YA WATAALAM KUTOKA TANZANIA KUJADILI KUHUSU MASUALA YA UHAKIKI WA MIPAKA KATIKA ZIWA TANGANYIKA

Mkutano wa Kamati ya Wataalam wa Mipaka kutoka nchi zinazopakana na Ziwa Tanganyika  ukiwa na lengo la kujadiliana kuhusu masuala ya uhakiki wa mipaka katika Ziwa Tanganyika.

Read More