Tarehe 24 Machi, 2022 Ujumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa CRDB Bank Tanzania/ Burundi wakiambatana na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Burundi Dkt. Jilly E. Maleko, walimtembelea  (“Courtesy call”) Mheshimiwa Alain – Guillaume Bunyoni , Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Burundi.