BALOZI WA TANZANIA NCHINI BURUNDI MHE. GELASIUS G. BYAKANWA ALITEMBELEA OFISI ZA TPA, CRDB BANK S.A NA ATCL BUJUMBURA TAREHE 15 NOVEMBA, 2023.
“ Nchini Burundi ninaiona fursa kubwa iliyopo katika sekta ya usafiri na usafirishaji, ipo haja ya TPA na ATCL kufanya kazi kwa bidii ili tuweze kukuza soko la huduma zinazotolewa na ATCL, pamoja na…
Read More