News and Events Change View → Listing

MATUKIO MBALIMBALI YA PICHA ZA MAADHIMISHO YA SIKU YA LUGHA YA KISWAHILI DUNIANI.

UBALOZI WA TANZANIA NCHINI BURUNDI UMEADHIMISHA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI.  MAADHIMISHO HAYO  YALIFANYIKA TAREHE 7 JULAI, 2022  KATIKA VIWANJA VYA CHUO KIKUU CHA BURUNDI KAMPASI YA MUTANGA.

Read More

Mheshimiwa Balozi Dkt. Jilly E. Maleko atunukiwa tuzo

Mheshimiwa Balozi Dkt. Jilly E. Maleko, Balozi wa Tanzania nchini Burundi, akipokea tuzo ya  Heshima Ngazi ya juu kutoka kwa Mheshimiwa Evariste Ndayishimiye , Rais wa  Burundi, tuzo hiyo imetolewa…

Read More

Bodi ya Wakurugenzi wa CRDB BANK Tanzania Ziarani Nchini Burundi

Tarehe 24 Machi, 2022 Ujumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa CRDB Bank Tanzania/ Burundi wakiambatana na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Burundi Dkt. Jilly E. Maleko, walimtembelea …

Read More

Ziara ya kikazi ya Bodi ya Wakurugenzi kutoka Benki ya CRDB Tanzania .

Pichani ni Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB -Tanzania na CRDB - Burundi na wanahisa wa Benki ya CRDB Burundi  wakiwa na Mhe. Balozi. Dkt. Jilly E. Maleko, Balozi wa Tanzania nchini Burundi…

Read More