News and Events Change View → Listing

MHE.BALOZI GELASIUS G. BYAKANWA AKUTANA NA KIKUNDI CHA WANAMUZIKI KUTOKA NCHINI TANZANIA TAREHE 26 OKTOBA, 2023

MHE. BALOZI GELASIUS G. BYAKANWA LEO TAREHE 26 OKTOBA,2023 AMEKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO MAFUPI NA KIKUNDI CHA WANAMUZIKI KUTOKA NCHINI TANZANIA KIITWACHO SWAHILI BLUZI  BAND KWENYE OFISI ZA UBALOZI.…

Read More

MHE.BALOZI GELASIUS G. BYAKANWA AJITAMBULISHA KWA MHE. WAZIRI WA MAMBO YA NJE, NCHINI BURUNDI TAREHE 26 OKTOBA,2023.

LEO TAREHE 26 OKTOBA, 2023 MHE. BALOZI GELASIUS G. BYAKANWA AMEFANYA ZIARA OFISI YA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA MAENDELEO. LENGO LA ZIARA HIYO LILIKUWA NI KUJITAMBULISHA KWA WAZIRI WA MAMBO YA NJE…

Read More

MHE. GELASIUS G.  BYAKANWA AMESHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 30 YA KIFO MHE. MELCHIOR NDADAYE, ALIYEKUWA RAIS WA BURUNDI.

LEO TAREHE 21 OKTOBA, 2023 MHE. GELASIUS G. BYAKANWA, BALOZI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA .NCHINI BURUNDI AMESHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 30 YA KIFO CHA MHE. MELCHIOR NDADAYE, ALIYEKUWA RAIS WA JAMHURI…

Read More

ZIARA YA MHE. GELASIUS GASPAR BYAKANWA KUTEMBELEA VIWANJA VYA UBALOZI.

LEO TAREHE 19 OKTOBA, 2023 MHE. BALOZI GELASIUS GASPAR BYAKANWA, BALOZI WA TANZANIA NCHINI BURUNDI AMEFANYA UKAGUZI WA VIWANJA NA MAJENGO YANAYOMILIKIWA NA SERIKALI YA TANZANIA NCHINI BURUNDI. ZIARA HUSIKA…

Read More

MHE. BALOZI GELASIUS BYAKANWA AHUDHURIA MAADHIMISHO YA SIKU CHAKULA DUNIANI.

MHE. BALOZI GELASIUS BYAKANWA AMEHUDHURIA MAADHIMISHO YA SIKU  CHAKULA DUNIANI YALIYOFANYIKA TAREHE 16 OKTOBA, 2023 MKOANI KIRUNDO. WAKATI WA MAADHIMISHO  MHE.BALOZI ALIPATA FURSA YA KUTEMBELEA…

Read More

MHE. BALOZI GELASIUS GASPAR BYAKANWA AMEWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO LEO TAREHE 12 OKTOBA 2023.

MHE. BALOZI GELASIUS GASPAR BYKANWA LEO TAREHE 12 OKTOBA, 2023 AMEWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA MHE. EVARISTE NDAYISHIMIYE , RAIS WA JAMHURI YA BURUNDI, IKULU BUJUMBURA.

Read More

MHE. MARIAM MWINYI,MKE WA RAIS WA ZANZIBAR KUSHIRIKI JUKWAA LA WANAWAKE VIONGOZI, BUJUMBURA, BURUNDI.

MHE. MARIAM MWINYI, MKE WA RAIS WA ZANZIBAR AMEWASILI BUJUMBURA, BURUNDI KUSHIRIKI KATIKA JUKWAA LA WANAWAKE VIONGOZI KUJADILI MCHANGO WA UZAZI WA MPANGO KATIKA KUPATA LISHE BORA NA TIJA YA MAKUNDI YA WATU…

Read More