UBALOZI UMEFANYA MAONESHO YA BIASHARA YA PAMOJA KATI YA TANZANIA NA BURUNDI JOINT EXPO 2026 KUANZIA TAREHE 20 HADI 24 MEI, 2026
Tarehe 21.5.2026 umefanyika ufunguzi wa Maonesho ya Biashara ya Pamoja, Burundi and Tanzania Joint Expo 2026 yaliyoandaliwa na Ubalozi. Wafanyabiashara wa mikoa sita kutoka Tanzania walishiriki Maonesho hayo.… Read More




_1_1200_700shar-50brig-20_c1_c_t.jpg)



