News and Resources Change View → Listing

KAMBI YA MADAKTARI BINGWA KUTOKA HOSPITALI BENJAMIN MKAPA DODOMA IMEFUNGWA RASMI.

Leo tarehe 31.7.2025 Kambi ya Madaktari Bingwa kutoka Hospitali Benjamin Mkapa kutoka Dodoma  iliyokuwa inatoa huduma ya matibabu kwenye Hospitali ya Prince Regent Charles jijini Bujumbura imefungwa…

Read More

TIMU YA MADAKTARI BINGWA KUTOKA HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA YAZINDULIWA MKOANI GITEGA.

LEO TAREHE 15 .7.2025 UMEFANYIKA UFUNGUZI WA KAMBI YA MADAKTARI BINGWA KUTOKA HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA DODOMA. UFUNGUZI HUO UMEFANYIKA MKOANI GITEGA NA MGENI RASMI ALIKUWA WAZIRI WA AFYA BURUNDI, DKT.…

Read More

UBALOZI WAADHIMISHA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI.

TAREHE 10 .7. 2025 UBALOZI ULIADHIMISHA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI   YALIYOFANYIKA CHUO KIKUU CHA  MUTANGA NCHINI BURUNDI. KATIKA MAADHIMISHO HAYO WALISHIRIKISHWA WANAFUNZI  THELATHINI (30)…

Read More

WAZIRI WA ULINZI WA BURUNDI AFANYA ZIARA NCHINI TANZANIA.

Tarehe 10.6.2025  Waziri wa Ulinzi  wa  Tanzania, Mhe. Dkt. Stergomena  L. Tax na Waziri wa Ulinzi na Veterani wa Vita wa Burundi, Mhe. Alain T. Mutabazi, wamesaini Hati ya Makubaliano…

Read More

UBALOZI WA TANZANIA NCHINI BURUNDI YAADHIMISHA SHEREHE ZA MIAKA 61 MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR.

TAREHE 10 .5. 2025 UBALOZI WA TANZANIA NCHINI BURUNDI ULIADHIMISHA SHEREHE ZA MIAKA 61 ZA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR EDERN GARDEN RESORT, MGENI RASMI ALIKUWA BW. FERDINAND BISHIKAKO, KATIBU MKUU WIZARA…

Read More

MHE. BALOZI GELASIUS G. BYAKANWA AWA MGENI RASMI KATIKA UFUNGUZI WA KAMPUNI TANZU YA ORBIT INVESTMENT BANK BURUNDI.

  Orbit Securities Tanzania imefungua rasmi kampuni tanzu Orbit Investment Bank Burundi, ikiwa ni hatua kubwa katika kupanua huduma za uwekezaji Afrika Mashariki. Hafla ya uzinduzi huu imefanyika mjini…

Read More

MHE. BALOZI GELASIUS G. BYAKANWA AKUTANA NA MABALOZI WA AFRIKA.

Tarehe 26.4.2025 Mhe Gelasius G. Byakanwa, Balozi wa Tanzania nchini Burundi amewaalika Mabalozi wa Afrika wanaowakilisha nchi zao nchini Burundi na kupata chakula cha jioni pamoja, ikiwa na kauli mbiu ya…

Read More