MHE. BALOZI GELASIUS G BYAKANWA AMEFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA BANDARI  ZA KIGOMA (KIGOMA CARGO TERMINAL) NA KIBIRIZI. KUANZIA TAREHE 15 -20 NOVEMBA, 2024.  KATIKA ZIARA HIYO AMEAMBATANA NA BRIG. GEN. FURAHISHA NTAHENA, MWAMBATA JESHI WA UBALOZI NA BW. EMMANUEL NKUMBI, AFISA MWAKILISHI WA TPA NCHINI BURUNDI. LENGO LA ZIARA HIYO NI KUFAHAMU MIUNDOMBINU YA BANDARI ZA TPA KATIKA ZIWA TANGANYIKA AMBAZO ZINA MCHANGO MKUBWA KATIKA UKUAJI WA  BIASHARA YA UCHUKUZI NA UKUZAJI DIPLOMASIA YA UCHUMI KATI YA TANZANIA NA BURUNDI.

  • MHE. BALOZI GELASIUS G. BYAKANWA AKIWA KWENYE KIKAO KIFUPI WAKATI WA ZIARA HIYO.
  • MHE. BALOZI GELASIUS BYAKANWA AKIKAGUA MIUNDOMBINU YA BANDARI HIYO.