Tarehe 10.6.2025  Waziri wa Ulinzi  wa  Tanzania, Mhe. Dkt. Stergomena  L. Tax na Waziri wa Ulinzi na Veterani wa Vita wa Burundi, Mhe. Alain T. Mutabazi, wamesaini Hati ya Makubaliano (MoU) ya Ushirikiano kati ya Tanzania na Burundi katika nyanja ya Ulinzi jijini Dodoma.