Tarehe 24 Machi, 2026 Mhe. Gelasius G. Byakanwa, Balozi wa Tanzania chini Burundi amekutana na kufanya mazungumzo na  Mhe. Calinie Mbarushimana, Waziri wa Kilimo nchini Burundi. Mazungumzo hayo yalihusiana na kuanza kwa zoezi la utafiti wa kiwango cha samaki waliomo katia Ziwa Tanganyika. Zoezi hilo linafanyika kufuatia makubaliano ya nchi wanachama wa Mamlaka ya Bonde la Ziwa Tanganyika.