Tarehe 21.5.2026 umefanyika ufunguzi wa Maonesho ya Biashara ya Pamoja, Burundi and Tanzania Joint Expo 2026 yaliyoandaliwa na Ubalozi.  Wafanyabiashara wa mikoa sita  kutoka Tanzania  walishiriki Maonesho hayo. Mgeni rasmi  alikuwa Mhe. Balozi Simon Sirro, Mkuu wa mkoa wa Kigoma.