Tarehe 1 Machi, 2026 Mhe. Balozi Gelasius G. Byakanwa alijumuika kwa pamoja kuangalia mpira kati ya simba ya Yanga na wananchi wa maeneo ya Buyenzi uliokuwa unayonyeshwa kwenye televison kwenye vibanda maalum (vibanda umiza) ambavyo wananchi wengi wanakutana kwa ajili ya kuangalia mechi mbalimbali. Mechi hiyo ilikuwa inachezwa Zanzibar. Lengo la Mhe. Balozi kujumuika na wananchi hao ilikuwa ni sehemu ya Ubalozi katika kutekeleza Diplomasia ya Umma katika suala zima la michezo. Aidha, wakati anaangalia mechi hiyo alipigwa picha mbalimbali.
MHE. GELASIUS G. BYAKANWA, BALOZI WA TANZANIA NCHINI BURUNDI AJUMUIKA KWA PAMOJA NA WANANCHI WA BUYENZI KUANGALIA MECHI YA SIMBA NA YANGA.
MHE. BALOZI GELASIU G. BYAKANWA AKISALIMIANA NA WANANCHI MBALIMBALI WA BUYENZI ALIPOWASILI KUANGALIA MECHI YA SIMBA NA YANGA .

