Mkutano wa Kamati ya Wataalam wa Mipaka kutoka nchi zinazopakana na Ziwa Tanganyika  ukiwa na lengo la kujadiliana kuhusu masuala ya uhakiki wa mipaka katika Ziwa Tanganyika.