News and Resources Change View → Listing

PICHANI MHE. BALOZI DKT. JILLY E. MALEKO AKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA MAKADA WA CCM(MANAIBU KATIBU MKUU BARA NA VISIWANI) MARA BAADA YA MAZUNGUMZO MAFUPI LEO TAREHE 27 AGOSTI, 2022.

MHE. BALOZI DKT. JILLY E. MALEKO AFANYA MAZUNGUMZO NA MAKADA WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM), MANAIBU KATIBU MKUU BARA NA VISIWANI.

LEO TAREHE 29 AGOSTI, 2022  OFISI YA UBALOZI ULITEMBELEWA NA MAKADA WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM), MANAIBU KATIBU MKUU BARA NA VISIWANI NA KUFANYA MAZUNGUMZO MAFUPI NA MHE. BALOZI DKT. JILLY E. MALEKO.…

Read More
PICHANI MHE. BALOZI DKT. JILLY E. MALEKO AKIFUATILIA MKUTANO HUO WA JUMUIYA YA WATANZANIA WAISHIO NCHINI BURUNDI (DIASPORA).

MHE. BALOZI. DKT. JILLY E. MALEKO AMESHIRIKI MKUTANO WA JUMUIYA YA WATANZANIA WAISHIO NCHINI BURUNDI (DIASPORA).

TAREHE 27 AGOSTI, 2022 MHE. BALOZI DKT. JILLY E. MALEKO ALISHIRIKI MKUTANO WA JUMUIYA YA WATANZANIA WAISHIO NCHINI BURUNDI (DIASPORA).  MKUTANO HUO ULIFANYIKA KWENYE UKUMBI WA MARKAZ ULIOPO NCHINI…

Read More

MATUKIO MBALIMBALI YA PICHA ZA MAADHIMISHO YA SIKU YA LUGHA YA KISWAHILI DUNIANI.

UBALOZI WA TANZANIA NCHINI BURUNDI UMEADHIMISHA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI.  MAADHIMISHO HAYO  YALIFANYIKA TAREHE 7 JULAI, 2022  KATIKA VIWANJA VYA CHUO KIKUU CHA BURUNDI KAMPASI YA MUTANGA.

Read More

Mheshimiwa Balozi Dkt. Jilly E. Maleko atunukiwa tuzo

Mheshimiwa Balozi Dkt. Jilly E. Maleko, Balozi wa Tanzania nchini Burundi, akipokea tuzo ya  Heshima Ngazi ya juu kutoka kwa Mheshimiwa Evariste Ndayishimiye , Rais wa  Burundi, tuzo hiyo imetolewa…

Read More

Bodi ya Wakurugenzi wa CRDB BANK Tanzania Ziarani Nchini Burundi

Tarehe 24 Machi, 2022 Ujumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa CRDB Bank Tanzania/ Burundi wakiambatana na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Burundi Dkt. Jilly E. Maleko, walimtembelea …

Read More

Ziara ya kikazi ya Bodi ya Wakurugenzi kutoka Benki ya CRDB Tanzania .

Pichani ni Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB -Tanzania na CRDB - Burundi na wanahisa wa Benki ya CRDB Burundi  wakiwa na Mhe. Balozi. Dkt. Jilly E. Maleko, Balozi wa Tanzania nchini Burundi…

Read More