Pichani Mhe. Balozi Dkt. Jilly E. Maleko akiwa kwenye picha ya pamoja na Mhe. Mashimba Mashauri Ndaki , Waziri wa Mifugo na Uvuvi na Dkt. Rashid Tamatamah, Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi walipotembelea ofisi za Ubalozi leo tarehe 29 Julai, 2022.