LEO TAREHE 29 AGOSTI, 2022  OFISI YA UBALOZI ULITEMBELEWA NA MAKADA WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM), MANAIBU KATIBU MKUU BARA NA VISIWANI NA KUFANYA MAZUNGUMZO MAFUPI NA MHE. BALOZI DKT. JILLY E. MALEKO.  MAKADA HAO WA CCM WALIKUJA NCHINI BURUNDI KUSHIRIKI SHEREHE ZA IMBONERAKURE ILIYOANDALIWA NA CHAMA TAWALA CHA NCHINI BURUNDI (CNDD-FDD)ZILIZOFANYIKA TAREHE 27 AGOSTI, 2022.