MHE. BALOZI DKT. JILLY E. MALEKO AMEFANYA MKUTANO NA WAANDAAJI WA SAFARI ZA WATALII NA WAANDISHI WA HABARI NCHINI BURUNDI TAREHE 01 SEPTEMBA, 2022 KWENYE OFISI ZA UBALOZI. LENGO LA MKUTANO HUO NI KUITANGAZA FILAMU YA ROYAL TOUR.
MHE. BALOZI DKT. JILLY E. MALEKO AFANYA MKUTANO NA WAANDAAJI WA SAFARI ZA WATALII(TOUR OPERATORS) PAMOJA NA WAANDISHI WAHABARI WA NCHINI BURUNDI.
