Mheshimiwa Balozi Dkt. Jilly E. Maleko, Balozi wa Tanzania nchini Burundi, akipokea tuzo ya Heshima Ngazi ya juu kutoka kwa Mheshimiwa Evariste Ndayishimiye , Rais wa Burundi, tuzo hiyo imetolewa kwake kutambua mchango wake wa kudumisha ushirikiano baina ya Tanzania na Burundi.