UBALOZI WA TANZANIA NCHINI BURUNDI UMEADHIMISHA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI.  MAADHIMISHO HAYO  YALIFANYIKA TAREHE 7 JULAI, 2022  KATIKA VIWANJA VYA CHUO KIKUU CHA BURUNDI KAMPASI YA MUTANGA.

 • MGENI RASMI BW. JEAN CLAUDE KANENE ALIYEMWAKILISHA WAZIRI WA AFRIKA MASHARIKI, VIJANA, MICHEZO NA UTAMADUNI AKIWA NA MHE. BALOZI DKT. JILLY E. MALEKO, WAKATI WA MAADHIMISHO.MGENI RASMI BW. JEAN CLAUDE KANENE ALIYEMWAKILISHA WAZIRI WA AFRIKA MASHARIKI, VIJANA, MICHEZO NA UTAMADUNI AKIWA NA MHE. BALOZI DKT. JILLY E. MALEKO, WAKATI WA MAADHIMISHO.
 • MGENI RASMI BW. JEAN CLAUDE KANENE AKITIA SAINI KWENYE KITABU CHA WAGENI ALIPOTEMBELEA BANDA LA MAONESHO LA UBALOZI WAKATI WA MAADHIMISHO.MGENI RASMI BW. JEAN CLAUDE KANENE AKITIA SAINI KWENYE KITABU CHA WAGENI ALIPOTEMBELEA BANDA LA MAONESHO LA UBALOZI WAKATI WA MAADHIMISHO.
 • BRIG. GEN. SALUM MNUMBE, MWAMBATA JESHI WA UBALOZI AKIWA NA MKEWE WAKISOMA SHAIRI LA LUGHA YETU YA KISWAHILI, WAKATI WA MAADHIMISHO.BRIG. GEN. SALUM MNUMBE, MWAMBATA JESHI WA UBALOZI AKIWA NA MKEWE WAKISOMA SHAIRI LA LUGHA YETU YA KISWAHILI, WAKATI WA MAADHIMISHO.
 • MGENI RASMI BW. JEAN CLAUDE KANENE AKIWA NA MHE. BALOZI DKT JILLY E. MALEKO KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI YA ECCO BURUNDI, MARA BAADA YA WANAFUNZI HAO KUTUMBUIZA NYIMBO ZA KISWAHILI WAKATI WA MAADHIMISHO.MGENI RASMI BW. JEAN CLAUDE KANENE AKIWA NA MHE. BALOZI DKT JILLY E. MALEKO KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI YA ECCO BURUNDI, MARA BAADA YA WANAFUNZI HAO KUTUMBUIZA NYIMBO ZA KISWAHILI WAKATI WA MAADHIMISHO.
 • MHE. BALOZI DKT. JILLY E. MALEKO ALITEMBELEA BANDA LA MAONESHO LA CHUO KIKUU HURIA KANDA YA KIGOMA, AMBAO WALISHIRIKI MAONESHO HAYO.MHE. BALOZI DKT. JILLY E. MALEKO ALITEMBELEA BANDA LA MAONESHO LA CHUO KIKUU HURIA KANDA YA KIGOMA, AMBAO WALISHIRIKI MAONESHO HAYO.
 • MHE. BALOZI DKT. JILLY E. MALEKO ALITEMBELEA BANDA LA MAONESHO LA CHAMA CHA KUKUZA KISWAHILI CHA BURUNDI WAKATI WA MAADHIMISHO.MHE. BALOZI DKT. JILLY E. MALEKO ALITEMBELEA BANDA LA MAONESHO LA CHAMA CHA KUKUZA KISWAHILI CHA BURUNDI WAKATI WA MAADHIMISHO.
 • KIKUNDI CHA TAARAB CHA ALWATAN KUTOKA BUJUMBURA KIKITUMBUIZA NYIMBO WAKATI WA MAADHIMISHO.KIKUNDI CHA TAARAB CHA ALWATAN KUTOKA BUJUMBURA KIKITUMBUIZA NYIMBO WAKATI WA MAADHIMISHO.
 • WADAU MBALIMBALI WA KISWAHILI WALIPOTEMBELEA BANDA LA MAONESHO LA UBALOZI WAKIANGALIA VITABU VYA KISWAHILI.WADAU MBALIMBALI WA KISWAHILI WALIPOTEMBELEA BANDA LA MAONESHO LA UBALOZI WAKIANGALIA VITABU VYA KISWAHILI.
 • MHE. BALOZI DKT. JILLY E. MALEKO ALITEMBELEA BANDA LA MAONESHO LA TPA NA ATCL WAKATI WA MAADHIMISHO.MHE. BALOZI DKT. JILLY E. MALEKO ALITEMBELEA BANDA LA MAONESHO LA TPA NA ATCL WAKATI WA MAADHIMISHO.