TAREHE 27 AGOSTI, 2022 MHE. BALOZI DKT. JILLY E. MALEKO ALISHIRIKI MKUTANO WA JUMUIYA YA WATANZANIA WAISHIO NCHINI BURUNDI (DIASPORA).  MKUTANO HUO ULIFANYIKA KWENYE UKUMBI WA MARKAZ ULIOPO NCHINI BURUNDI. WATANZANIA WENGI WALIHUDHURIA MKUTANO HUO.

  • PICHANI WATANZANIA WAISHIO NCHINI BURUNDI WAKIFUATILIA MKUTANO WA WATANZANIA WAISHIO NCHINI BURUNDI TAREHE 27 AGOSTI, 2022.PICHANI WATANZANIA WAISHIO NCHINI BURUNDI WAKIFUATILIA MKUTANO WA WATANZANIA WAISHIO NCHINI BURUNDI TAREHE 27 AGOSTI, 2022.