Pichani ni Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB -Tanzania na CRDB - Burundi na wanahisa wa Benki ya CRDB Burundi  wakiwa na Mhe. Balozi. Dkt. Jilly E. Maleko, Balozi wa Tanzania nchini Burundi  walipotembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Burundi tarehe 24 Machi, 2022.