News and Events Change View → Listing

ZIARA YA MAAFISA KUTOKA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA(TPA), MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA (TRA),  NA SHIRIKA LA UWAKALA WA MELI TANZANIA (TASAC) KUTOKA TANZANIA, NCHINI BURUNDI.

LEO TAREHE 06 MACHI, 2023 TIMU YA  YA MAAFISA KUTOKA MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA (TRA), MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA(TPA) NA SHIRIKA LA UWAKALA WA MELI TANZANIA(TASAC) NA SEKTA BINAFSI (TAFAA,…

Read More

WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI , DKT.  STERGOMENA TAX AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA MKUTANO WA 43 WA BARAZA LA MAWAZIRI (EAC).

MHE. DKT. STERGOMENA TAX, WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI, AMEONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KWENYE MKUTANO WA 43 WA KAWAIDA WA BARAZA LA MAWAZIRI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI (EAC)…

Read More

MAWIZIRI KUTOKA TANZANIA WATEMBELEA CRDB BANK S.A BURUNDI.

MHE. DKT.STERGOMENA TAX, WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI PAMOJA NA MHE. DKT. MWIGULU NCHEMBA, WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO WAMETEMBELEA OFISI ZA CRDB BANK S.A BURUNDI TAREHE 21…

Read More

MKUTANO WA 43 WA BARAZA LA MAWAZIRI LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI (EAC)

MKUTANO WA 43 WA BARAZA LA MAWAZIRI LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI (EAC) UNAOENDELEA NCHINI BURUNDI KUANZIA  TAREHE 19 - 23 FEBRUARI, 2023 KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WA HOTEL CLUB DULAC TANGANYIKA. MKUTANO…

Read More

MKUTANO WA 18 WA BARAZA LA MAWAZIRI LA KISEKTA LA UCHUKUZI MAWASILIANO YA HALI YA HEWA (TCM) KWA NCHI ZA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI (EAC).

MKUTANO WA 18 WA BARAZA LA MAWAZIRI LA KISEKTA LA UCHUKUZI, MAWASILIANO NA HALI YA HEWA (TCM)  KWA NCHI ZA  JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI (EAC), ULIFANYIKA KATIKA HOTELI YA ROYAL PALACE BUJUMBURA,…

Read More