MKUTANO WA 43 WA BARAZA LA MAWAZIRI LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI (EAC) UNAOENDELEA NCHINI BURUNDI KUANZIA  TAREHE 19 - 23 FEBRUARI, 2023 KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WA HOTEL CLUB DULAC TANGANYIKA. MKUTANO HUO UMEANZA KWA NGAZI YA WATAALAM, MAKATIBU WAKUU NA MAWAZIRI WA JUMUIYA AFRIKA MASHARIKI (EAC.) 

  • Mhe. Balozi Joseph E. Sokoine , Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akisaini kitabu kwenye ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Burundi tarehe 21 Februari, 2023.
  • Mhe. Balozi Joseph E. Sokoine, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, akipokea taarifa ya nchi ya maandalizi ya Mkutano wa 43 wa Baraza la Mawaziri utakaofanyika tarehe 22 Februari, 2023 kwa ngazi ya Makatibu Wakuu