MHE. DKT.STERGOMENA TAX, WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI PAMOJA NA MHE. DKT. MWIGULU NCHEMBA, WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO WAMETEMBELEA OFISI ZA CRDB BANK S.A BURUNDI TAREHE 21 FEBRUARI, 2023 NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI WA BENKI HIYO PAMOJA NA WAFANYAKAZI. MAWAZIRI HAO WAPO BUJUMBURA, BURUNDI KWA AJILI YA KUSHIRIKI MKUTANO WA 43 WA BARAZA LA MAWAZIRI WA EAC UTAKAOFANYIKA TAREHE 23 FEBRUARI, 2023.
Mhe. Dkt. Stergomena Tax, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, pamoja na Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha na Mipango, wakiwa kwenye kikao kifupi na Bw. Fredrick Siwale, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB pamoja na Wafanyakazi wa benki hiyo tarehe 22 Februari, 2023 mara walipotembelea ofisi za Benki hiyo.
