MHE. BALOZI DKT. JILLY E. MALEKO ATEMBELEWA NA ASKOFU (BISHOP) NA UJUMBE WAKE KUTOKA CANADA.
Mhe. Balozi Dkt. Jilly E. Maleko, Balozi wa Tanzania nchini Burundi akiwa kwenye picha ya pamoja na Askofu (Bishop) kutoka Canada na ujumbe wake walipotembelea ofisi za Ubalozi na kufanya mazungumzo mafupi na Mhe. Balozi tarehe 24 Februari, 2023.