WAFANYAKAZI WA MAMLAKA YA BANDARI TANZANIA (TPA) WATEMBELEA OFISI ZA UBALOZI.
Pichani Mhe. Balozi Dkt. Jilly E. Maleko, Balozi wa Tanzania nchini Burundi akiwa na Wafanyakazi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania, leo tarehe 02 March, 2023 walipotembelea Ofisi za Ubalozi. Wafanyakazi hao wamekuja kikazi nchini Burundi.