WATANZANIA NCHINI BURUNDI NA WANANCHI MBALIMBALI WAKIONGOZWA NA PADRI LINI UGABA NA IMAMU SHEIKH AMIR IMAM WASHIRIKI IBADA YA MAOMBEZI KATIKA VIWANJA VYA UBALOZI WA TANZANIA KUFUATIA KIFO CHA ALIYEKUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI.