WAZIRI WA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. ISACK A. KAMWELWE PAMOJA NA WAZIRI WA UCHUKUZI WA JAMHURI YA BURUNDI, MHE. IMMACULEE NDABANEZE WAKIZINDUA OFISI YA UHUSIANO YA MAMLAKA YA BANDARI TANZANIA (TPA) ILIYOPO MJINI BUJUMBURA TAREHE 23 OKTOBA 2020 SANJARI NA KUSAINI MKATABA WA MAELEWANO (MoU) BAINA YA TANZANIA NA BURUNDI. AIDHA KUZINDULIWA KWA OFISI HIYO KUTARAHISISHA KUTATUA CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI WADAU AU WATUMIAJI WA BANDARI ZA TANZANIA.