MKUTANO WA WAKUU WA MAJESHI WA NCHI WANACHAMA WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI UMEFANYIKA BUJUMBURA, BURUNDI TAREHE 08 NOVEMBA, 2022 KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WA HOTELI KIRIRI GARDEN, AMBAPO MKUU WA MAJESHI WA TANZANIA JENERALI JACOB JOHN MKUNDA ALIHUDHURIA MKUTANO HUO, AMBAO ULITANGULIWA NA KIKAO CHA WATAALAMU KICHOFANYIKA TAREHE 07 NOVEMBA, 2022. AGENDA KUU YA MKUTANO HUO ILIKUWA KUJADILI HALI YA USALAMA YA AFRIKA MASHARIKI MWA DRC.  MARA BAADA YA MKUTANO HUO KUMALIZIKA MKUU WA MAJESHI YA TANZANIA JENERAL JACOB JOHN MKUNDA ALITEMBELEA UBALOZI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NCHINI BURUNDI NA KUPOKELEWA NA MHE. BALOZI DKT. JILLY E.MALEKO.

  • Balozi wa Tanzania nchini Burundi akimkaribisha Mkuu wa Majeshi Gen. Jacob John Mkunda alipowasili kwenye ofisi za Ubalozi.Balozi wa Tanzania nchini Burundi akimkaribisha Mkuu wa Majeshi Gen. Jacob John Mkunda alipowasili kwenye ofisi za Ubalozi.
  • Mkuu wa Majeshi Gen. Jacob Jonh Mkunda akisaini kitabu cha wageni kwenye ofisi za Ubalozi.Mkuu wa Majeshi Gen. Jacob Jonh Mkunda akisaini kitabu cha wageni kwenye ofisi za Ubalozi.
  • Mkuu wa Majeshi Gen. Jacob John Mkunda akimkabidhi zawadi Balozi wa Tanzania Dkt. Jilly E. Maleko,Mkuu wa Majeshi Gen. Jacob John Mkunda akimkabidhi zawadi Balozi wa Tanzania Dkt. Jilly E. Maleko,
  • Balozi wa Tanzania Dkt. Jilly E. Maleko akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Majeshi Gen. Jacob John Mkunda.Balozi wa Tanzania Dkt. Jilly E. Maleko akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Majeshi Gen. Jacob John Mkunda.