TAREHE 05 FEBRUARI, 2024 MHE. BALOZI GELASIUS G. BYAKANWA ALISHIRIKI SHEREHE YA UMOJA WA WARUNDI ZILIZOFANYIKA MKOANI GITEGA. MGENI RASMI KATIKA SHEREHE HIYO ALIKUWA NI RAIS WA JAMHURI YA BURUNDI, MHE.EVARISTE NDAYISHIMIYE.