TAREHE 18 JANUARI, 2024 MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI (CAG) BW. CHARLES E. KICHELE ALITEMBEMEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI BURUNDI NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MHE. BALOZI GELASIUS G. BYAKANWA. MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI (CAG), YUKO NCHINI BURUNDI KUSHIRIKI UKAGUZI.

  • MHE. BALOZI GELASIUS G. BYAKANWA AKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI (CAG) BW. CHARLES E. KICHERE MARA BAADA YA MAZUNGUMZO MAFUPI NA MHE.BALOZITAREHE 18 JANUARI, 2024.