MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DKT. PHILIP ISDOR MPANGO AKIAGANA NA BAADHI YA WATUMISHI WA TAASISI ZA SERIKALI YA BURUNDI KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA MELCHIOR NDADAYE ALIPOKUWA AKIREJEA NCHINI BAADA YA KUHUDHURIA KUMBUKIZI YA MWAKA MMOJA YA HAYATI PIERRE NKURUNZIZA ILIYOFANYIKA TAREHE 09 JUNI 2021.