Ndugu Watanzania wote mliopo nchini Burundi, Ubalozi unapenda kuwafahamisha kwamba lile Kongamano la Saba la Diaspora lililokuwa limepangwa kufanyika mjini Dodoma mwaka huu 2020 limeahirishwa hadi baada ya Uchaguzi Mkuu wa Taifa.