BALOZI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NCHINI BURUNDI, MHE. DKT. JILLY E. MALEKO AKUTANA NA SPIKA WA BUNGE LA SENATE LA JAMHURI YA BURUNDI, MHE. EMMANUEL SINZOHAGERA TAREHE 30 OKTOBA 2020 KATIKA OFISI YA MHE. SPIKA KWA LENGO LA KUSALIMIANA (COURTESY CALL).