MHE. BALOZI DKT. JILLY E. MALEKO, BALOZI WA TANZANIA NCHINI BURUNDI AKUTANA NA MHE. DKT. DEO GUIDE RUREMA, WAZIRI WA MAZINGIRA, KILIMO NA MIFUGO WA JAMHURI YA BURUNDI TAREHE 12 NOVEMBA, 2020 KWA LENGO LA KUSALIMIANA (COURTESY CALL) NA KUZUNGUMZIA MASUALA YENYE MASLAHI KWA NCHI ZETU MBILI. MAZUNGUMZO HAYO YALIFANYIKA KATIKA OFISI YA MHE. WAZIRI.