MKURUGENZI MTENDAJI WA KAMPUNI YA HUDUMA ZA MELI,BW. ERIC HAMISSI AMETEMBELEA OFISI ZA UBALOZI NA KUFANYA MKUTANO NA WADAU WA SEKTA YA UCHUKUZI KWA NCHI ZA JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO PAMOJA NA JA HURI YA BURUNDI. LENGO LA MKUTANO HOU NI KUWASILISHA UTAFITI WA AWALI ULIOFANYIKA KATIKA NCHI HIZO ULIOLENGA KUJUA GHARAMA ZA USAFIRI NA USAFIRISHAJI WA ABIRIA NA MIZIGO KATIKA ZIWA TANGANYIKA.

  • BW. JOACHIM NYINGO, KAIMU BALOZI AKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA MSCL, BW. ERIC HAMISSI NA WADAU WA SEKTA YA UCHUKUZI KWA NCHIZA JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO NA JAMHURI YA BURUNDI KWENYE OFISI ZA UBALOZI TAREHE 30 JUNI, 2023 MARA BAADA YA MKUTANO.