MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHESHIMIWA DKT. PHILIP ISDOR MPANGO AMESHIRIKI MKUTANO WA KILELE WA 11 WA MATAIFA YALIYOSAINI MAKUBALIANO YA AMANI, USALAMA NA USHIRIKIANO KWA AJILI YA DRC NA KANDA ULIOFANYIKA TAREHE 06 MEI, 2023 BUJUMBURA, BURUNDI.KATIKA MKUTANO HUO MHE. MAKAMU WA RAIS ALIMWAKILISHA MHE. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN. AIDHA, WAKATI WA MKUTANO HUO MHE. MAKAMU WA RAIS PEMBEZONI MWA MKUTANO HUO ALIPATA FURSA YA KUFANYA MAZUNGUMZO MAFUPI NA WAZIRI MKUU WA BURUNDI MHE. GERVAIS NDIRAKOBUCA.
MHE. MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. PHILIP ISDORE MPANGO AKIWA NA MWENYEJI WAKE MHE. MAKAMU WA RAIS WA BURUNDI, MHE. PROSPER BANZOMBAZA KWENYE UWANJA WA NDEGE WA MELCHIOR NDADAYE JIJINI BUJUMBURA, BURUNDI TAREHE 06 MEI, 2023.
MHE. MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. PHILIP ISDORE MPANGO AKIFUATILIA KWA KARIBU WAKATI WA MKUTANO HUO, (KUSHOTO) MHE. BALOZI MBAROUK MBAROUK, NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI, (KULIA) BALOZI WA TANZANIA NCHINI BURUNDI, MHE. DKT. JILLY E. MALEKO TAREHE 06 MEI, 2023.
MHE. MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. PHILIP ISDOR MPANGO AKISALIMIANA NA MHE. RAIS WA BURUNDI, MHE. EVARISTE NDAYISHIMIYE MARA BAADA YA KUWASILI KWENYE IKULU YA BUJUMBURA NCHINI BURUNDI TAREHE 06 MEI, 2023.
MHE. MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. PHILIP ISDORE MPANGO AKIPANDA MTI IKIWA NI ISHARA YA MAADHIMISHO YA MIAKA 10 YA MPANGO WA AMANI, USALAMA NA USHIRIKIANO. (KUSHOTO) NI NAIBU WAZIRI WA MAMBO NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI, MHE. BALOZI MBAROUK MBAROUK TAREHE 06 MEI, 2023.
TAREHE 06 MEI, 2023 MHE. DKT. PHILIP ISDORE MPANGO, MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA LAIFANYA ZIARA YA KIKAZI NCHINI BURUNDI KUMWAKILISHA MHE. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KWENYE MKUTANO WA KILELE WA 11 WA MATAIFA YALIYOSAINI MAKUBALIANO YA AMANI, USALAM NA USHIRIKIANO KWA AJILI YA DRC NA KANDA. PEMBEZONI MWA MKUTANO HUO ALIPATA FURSA YA KUFANYA MAZUNGUMZO MAFUPI NA WAZIRI MKUU WA BURUNDI NA MHE. GERVAIS NDIRAKOBUCA.
MHE. DKT. PHILIP ISDORE MPANGO, MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ALIFANYA ZIARA YA KIKAZI NCHINI BURUNDI KUMWAKILISHA MHE. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KWENYE MKUTANO WA KILELE WA 11 WA MATAIFA YALIYOSAINI MAKUBALIANO YA AMANI, USALAMA NA USHIRIKIANO KWA AJILI YA DRC NA KANDA AKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA PEMBEZONI MWA MKUTANO HUO MARA BAADA YA MAZUNGUMZO MAFUPI NA WAZIRI MKUU WA BURUNDI MHE. GERVAIS NDIRAKOBUCA TAREHE 06 MEI, 2023.
MHE. MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DKT. PHILIP ISDOR MPANGO AKIPOKELEWA NA RAIS WA BURUNDI, MHE. EVARISTE NDAYISHIMIYE MARA ALIPOWASILI KWENYE ENEO LA UKUMBI WA MIKUTANO TAREHE 06 MEI, 2023.