MHE. BALOZI DKT. JILLY E. MALEKO, BALOZI WA TANZANIA NCHINI BURUNDI ALITEMBELEA MABANDA YA WAJASIRIAMALI WA TANZANIA WANAOSHIRIKI MAONESHO YA BIDHAA ZA VIWANDA VIDOGO VIDOGO NA UTAMADUNI KWA NCHI ZA JUMUIYA ZA AFRIKA MASHARIKI (EAC) YANAYOENDELEA NCHINI BURUNDI.
MHE. BALOZI DKT. JILLY E. MALEKO ATEMBELEA MABANDA YA WAJASIRIAMALI KUTOKA TANZANIA.
Mhe. Balozi Dkt. Jilly E. Maleko, Balozi wa Tanzania nchini Burundi akiwa kwenye picha ya pamoja na wajasiriamali wa Tanzania, Bujumbura, Burundi.
