KUFUATIA KIFO CHA RAIS WA AWAMU YA PILI, MHE. ALI HASSAN MWINYI UBALOZI UMEFUNGUA KITABU CHA MAOMBOLEZO  LEO TAREHE 01 MACHI, 2024. MABALOZI MBALIMBALI WAMESHAANZA KUWASILI UBALOZINI KWA AJILI YA KUSAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO.

  • BALOZI WA UTURUKI NCHINI BURUNDI, MHE. ALP ISIKILI AKISAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KWENYE OFISI YA UBALOZI LEO TAREHE 01 MACHI, 2024.
  • MHE. BALOZI GELASIUS G. BYAKANWA AKISALIMIANA NA BALOZI WA UTURUKI NCHINI BURUNDI, MHE. ALP ISIKILI LEO TAREHE 1 MACHI, 2024 MARA BAADA YA KUSAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KWENYE OFISI YA UBALOZI.