MHE. BALOZI DKT. JILLY E. MALEKO AMEKUTANA NA KIONGOZI WA WABUNGE WA TANZANIA WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI (EALA) MHE. ABDULLAH H. MAKAME (Mb) AKIAMBATANA PAMOJA NA MHE. MASHAKA  K. NGOLE,  (Mb) NA MHE. MACHANO A. MACHANO WABUNGE WA BUNGE HILO,  WALIPOTEMBELEA OFISI ZA UBALOZI NA KUFANYA MAZUNGUMZO MAFUPI NA MHE. BALOZI LEO TAREHE 04 APRILI, 2024 . WABUNGE HAO WAPO BUJUMBURA, BURUNDI KWA AJILI YA MKUTANO UNAOENDELEA WA BUNGE  LA AFRIKA MASHARIKI(EALA) UNAOFANYIKA KUANZIA TAREHE 27 MACHI, HADI 07 APRILI, 2023 KATIKA UKUMBI WA BUNGE LA BURUNDI ULIPO KIGOBE, BUJUMBURA, BURUNDI. 

  • MHE. BALOZI DKT. JILLY E. MALEKO, AKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA KIONGOZI WA WABUNGE WA TANZANIA WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI (EALA), MHE. ABDULLAH H. MAKAME (Mb), AKIWA AMEAMBATANA NA MHE. MASHAKA K. NGOLE (Mb), MHE. MACHANO A.MACHANO, MARA BAADA YA MAZUNGUMZO MAFUPI NA MHE. BALOZI LEO TAREHE 04 APRILI, 2023 WALIPOTEMBELEA OFISI ZA UBALOZI.