"Ninaipenda sana Tanzania, ninampango wa kufanya ziara ya utalii mimi mwenyewe na familia yangu," alisema Balozi wa Algeria nchini Burundi Mhe. Himid Boukrif alipomkaribisha Balozi wa Tanzania nchini Burundi, Mhe. Gelasius G. Byakanwa tarehe 10 Novemba, 2023.
Balozi wa Tanzania nchini Burundi, Mhe. Gelasius G. Byakanwa akimkabidhi zawadi zenye bidhaa za Tanzania Balozi wa Algeria nchini Burundi Mhe. Himid Boukrif tarehe 10 Novemba, 2023.
Balozi wa Tanzania nchini Burundi, Mhe. Gelasius G. Byakanwa akiwa kwenye mazungumzo mafupi na Balozi wa Algeria nchini Burundi Mhe. Himid Boukrif tarehe 10 Novemba, 2023.
