Tarehe 26.4.2025 Mhe Gelasius G. Byakanwa, Balozi wa Tanzania nchini Burundi amewaalika Mabalozi wa Afrika wanaowakilisha nchi zao nchini Burundi na kupata chakula cha jioni pamoja, ikiwa na kauli mbiu ya "Tule pamoja kuimarisha mahusiano". 

  • MHE. BALOZI GELASIUS G. BYAKANWA AKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA MWENZA WAKE (MAMA BALOZI) ELIZA F. SHESALA KWENYE HAFLA FUPI YA CHAKULA CHA JIONI NA MABALOZI WA AFRIKA.
  • MAAFISA WA UBALOZI WAKIWA PAMOJA WAKATI WA HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI NA MABALOZI WA AFRIKA.
  • MHE. BALOZI GELASIUS G. BYAKANWA AKIHUTUBIA WAKATI WA HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI NA MABALOZI WA AFRIKA.
  • MHE. BALOZI GELASIUS G, BYAKANWA WAKATI WA HAFLA FUPI YA CHAKULA CHA JIONI NA MABA,OZI WA AFRIKA.