Recent News and Updates
MHE WAZIRI MKUU WA TANZANIA AMEMWAKILISHA MHE. RAIS WA TANZANIA KUWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA RELI YA KISASA (SGR) KIPANDE CHA UVINZA - MSONGATI NCHINI BURUNDI.
TAREHE 16.8.2025 TANZANIA NA BURUNDI ZILIWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA RELI YA KISASA (SGR) INAYOZIUNGANISHA NCHI MBILI KWA KIPANDE CHA UVINZA - MSONGATI YENYE UREFU WA KILOMITA 300 AMBAPO KILOMITA 240 KATI YA HIZO… Read More