News and Resources Change View → Listing

ZIARA YA KIKAZI YA WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. KASSIM MAJALIWA NCHINI BURUNDI TAREHE 26 JUNI 2020

WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. KASSIM M. MAJALIWA, ALIFANYA ZIARA YA KIKAZI NCHINI BURUNDI TAREHE 26 JUNI 2020. LENGO LA ZIARA HIYO LILIKUWA NI KUSHIRIKI MAZISHI YA HAYATI MHE. PIERRE…

Read More
H.E. Benjamin William Mkapa

H.E. Benjamin William Mkapa, 3rd President of Tanzania, Dies at 81

Benjamin Mkapa, the third president of Tanzania and the leader of the country during a crucial period of democratic transition, died on Friday at a hospital in the port city of Dar es Salaam. He was 81.His…

Read More

MHE. SAMIA SULUHU HASSAN, MHE. JAKAYA MRISHO KIKWETE NA DKT. DAMAS NDUMBARO WAKISAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO NYUMBANI KWA MAMA DENISE NKURUNZIZA TAREHE 18 JUNI 2020

MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. SAMIA SULUHU HASSAN, RAIS MSTAAFU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA…

Read More

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA KWA MHE. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA KWA MHE. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Read More

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI AMETANGAZA MAOMBOLEZO YA KITAIFA YA SIKU 03 KUANZIA  TAREHE 13 JUNI HADI TAREHE 15 JUNI 2020 KUFUATIA KIFO CHA RAIS WA JAMHURI…

Read More

MHE. BALOZI DKT. JILLY E. MALEKO, BALOZI WA TANZANIA NCHINI BURUNDI, AKISAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KATIKA IKULU YA NTARE RUSHATSI KUFUATIA KIFO CHA RAIS WA JAMHURI YA BURUNDI, MHE. PIERRE NKURUNZIZA.

MHE. BALOZI DKT. JILLY E. MALEKO, BALOZI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NCHINI BURUNDI, AKISAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KATIKA IKULU YA NTARE RUSHATSI, KUFUTIA KIFO CHA RAIS WA JAMHURI YA BURUNDI, MHE.…

Read More

SERIKALI YA TANZANIA YASIMAMISHA SAFARI ZOTE ZA NDEGE ZA ABIRIA ZA KIMATAIFA NA ZA KUKODI KUINGIA NCHINI TANZANIA KAMA HATUA MOJA WAPO YA KUKABILIANA UGONJWA WA COVID-19

SERIKALI YA TANZANIA YASIMAMISHA SAFARI ZOTE ZA NDEGE ZA ABIRIA ZA KIMATAIFA NA ZA KUKODI KUINGIA NCHINI TANZANIA KAMA HATUA MOJAWAPO YA KUKABILIANA NA UGONJWA WA COVID-19.

Read More

TAARIFA YA WIZARA YA AFYA YA BURUNDI KWA UMMA KUHUSIANA NA HATUA ZILIZOCHUKULIWA NA SERIKALI KWA AJILI YA KUJIKINGA NA KUPAMBANA NA UGONJWA WA HOMA YA MAPAFU (COVID-19)

TAARIFA YA WIZARA YA AFYA YA BURUNDI KWA UMMA KUHUSIANA NA HATUA ZILIZOCHUKULIWA NA SERIKALI KWA AJILI YA KUJIKINGA NA KUPAMBANA NA UGONJWA WA HOMA YA MAPAFU (COVID-19)

Read More