WAJUMBE WA CHAMBERS YA BIASHARA, VIWANDA NA KILIMO KUTOKA MIKOA YA KAGERA NA SHINYANGA WANAFANYA ZIARA HAPA BUJUMBURA, BURUNDI KUANZIA TAREHE 24 - 27 APRILI, 2023. RATIBA YA ZIARA HIYO INAJUMUISHA KUTEMBELEA OFISI ZA MEYA WA JIJI LA BUJUMBURA, MASOKO YA BIDHAA ZA MAZAO, PAMOJA NA KUFANYA MKUTANO WA CHAMBERS YA BIASHARA NA VIWANDA YA BURUNDI . LENGO LA ZIARA NI TAFUTA SOKO LA BIDHAA NA MAZAO.