WAZIRI WA UJENZI WA JAMHURI YA BURUNDI DKT. DEOGRATIUS NSANGANIYUMWAMI AMESAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KATIKA UBALOZI WA TANZANIA BURUNDI KUFUATIA KIFO CHA DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, ALIYEKUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.