WAHESHIMIWA MABALOZI WANAOWAKILISHA NCHI ZAO NCHINI BURUNDI NA WATANZANIA WAISHIO NCHINI BURUNDI WANAENDELEA KUSAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO UBALOZINI KUFUATIA MSIBA WA ALIYEKUWA RAIS WA AWAMU YA PILI WA SERIKALI YA  JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. ALI HASSAN MWINYI.

  • BALOZI WA EU, MHE. ELISABETTA PIETROBON AKISAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KWENYE OFISI YA UBALOZI LEO TAREHE 5 MACHI 2024.
  • KAIMU BALOZI WA MAREKANI NCHINI BURUNDI MHE. JOANN M. LOCKARD AKISAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KWENYE OFISI YA UBALOZI LEO TAREHE 5 MACHI 2024.
  • BALOZI WA ALGERIA NCHINI BURUNDI , MHE. HAMID BOUKRIF AKISAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KWENYE OFISI YA UBALOZI LEO TAREHE 5 MACHI 2024.