TAREHE 6 MACHI, 2024 WAHESHIMIWA MABALOZI NA WAKUU WA SERIKALI YA BURUNDI WAMEENDELEA KUSAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO UBALOZINI KUFUATIA KIFO CHA ALIYEKUWA RAIS WA  AWAMU YA PILI JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE, ALI HASSAN MWINYI.

  • BALOZI WA AFRIKA KUSINI NCHINI BURUNDI, MHE. MBULELO BUNGANE AMESAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO.
  • MHE.BALOZI WA CHINA NCHINI BURUNDI, AMESAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO.
  • MHE. BALOZI WA VATICAN NCHINI BURUNDI,AMESAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO.