Leo tarehe 9 .2.2024 Mhe. Gelasius G.  Byakanwa, Balozi wa Tanzania alimtembelea Katibu Mkuu wa Chama Tawala (CNDD-FDD), Mhe.  Reverien Ndukuriyo ofisini kwake na kufanya  mazungumzo naye ofisini kwake.

  • Mhe. Gelasius G. Byakanwa, Balozi wa Tanzania nchini Burundi akiwa kwenye mazungumzo mafupi na Katibu Mkuu wa Chama Tawala (CNDD-FDD), Mhe. Reverien Ndukuriyo ofisini kwake tarehe 9 Februari, 2024.