TAREHE 2 FEBRUARI, 2024 MHE. BALOZI GELASIUS G. BYAKANWA ALISHIRIKI SHEREHE YA MWAKA MPYA (DIPLOMATIC SHERRY PARTY) ZILIZOFANYIKA IKULU YA BURUNDI. SHEREHE HIYO ILIYOANDALIWA NA RAIS WA JAMHURI YA BURUNDI, MHE. EVARISTE NDAYISHIMIYE,   ILIJUMUISHA  MABALOZI WANAOWAKILISHA NCHI MBALIMBALI KATIKA JAMHURI YA BURUNDI PAMOJA NA WAWAKILISHI WA MASHIRIKIKA YA KIMATAIFA.  MHE. RAIS ALIWAPOKEA JUMUIYA YA WANADIPLOMASIA, AMBAPO KAMA ILIVYO DESTURI KILA MMOJA ALIPATA FURSA YA KUSALIMIANA NAE NA KUTAKIANA HERI YA MWAKA MPYA .